Language 

Ujumbe, 25 Julai 2024



Ujumbe, 25 Julai 2024
Wanangu wapendwa! Kwa furaha nimewachagua ninyi na ninawaongoza kwa sababu ndani yenu, wanangu, ninaona watu wa imani, matumaini na maombi. Wanangu, fahari ya kuwa wangu iwaongoze, nami nitawaongoza kwake Yeye aliye njia, na kweli na uzima. Mimi pia nipo pamoja nanyi ili amani iweze kushinda ndani yenu na kuwazunguka maana Mungu alinituma kwenu kwa nia hii. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.

25 Juni 2024 (Monthly)
25 Agosti 2024 (Monthly)
 

 


Wap Home | Updates  | Medjugorje[EN]  | Messages  | News & Articles[EN]  | Videos[EN]  | Pictures & Photos[EN]

Powered by www.medjugorje.ws